Saturday, 26 August 2017

FLANA YA HMD VIDEO PRODUCTION

Hii flan ipo sokoni kwa mahitaji ya flana hii onana na uongozi wa HMD VIDEO PRODUCTION
kwa kufika Konde Chanjaani - Pemba au wasiliana nasi kwa simu namba 0772435236 au 0779791909. Wahi mapema

USIKOSE KUANGALIA COMEDY HII!!


Ni moja ya comedy zilizotolewa na HMD VIDEO PRODUCTION.Toa maoni yako(coment)
                                                                               

                                                        BONYEZA KATI ILI KUANGALIA


USIKOSE KUANGALIA COMEDY HII!!

Ni moja ya comedy zilizotolewa na HMD VIDEO PRODUCTION.Toa maoni yako(coment)







Friday, 25 August 2017

LOGO DESIGN(NEMBO) YA OKAPI FOOTBALL CLUB ( OFC)

NI moja kati ya logo (nembo) zilizo tengenezwa na HMD VIDEO PRODUCTION

Add caption

GRAPHIC DESIGN

Tuna deal na mabo ya Graphic design kwa mahitaji ya Bussiness card, vitambulisho,kadi mbali mbali za mialiko, flayer(jarida), brouncher( Kipeperushi) banners, pia tuna tengeneza makava ya
michezo, music tuna edit picha zenye ubora wa hali ya juu kabisa bila ya kusahau kuwa tuna tengeneza kalenda,tuna design flana na kofia pamoja na katuni hata hivy ukitaka picha yako itengenezwe kuwa katuni na kwa mahitaji ya logo(nembo/lebo) pia tunatengeneza na mengine
mingi kibao. Vyote hivyo utavipata kwa garama nafuu kabisa nyote mnakaribisha wasiliana nasi
kwa simu namba : 0779791909 au 0772435236. KARIBUNI NYOTE



Monday, 7 August 2017

HMD VIDEO PRODUCTION

karibuni katika ofice zetu zilizopo konde chanjaani kwa ajili ya picha za aina zote.

Tuesday, 18 July 2017

NIPO NA WASANII MAHIRI.

Anaehitaji kufanya kazi na sisi basi sisi tupo tayari tutafute kwa simu no. +255772435236 au +255779791909

TANZANIA NDIO NCHI YA
NGU