Showing posts with label HOME PAGE. Show all posts
Showing posts with label HOME PAGE. Show all posts
Tuesday, 5 September 2017
Monday, 28 August 2017
Saturday, 26 August 2017
FLANA YA HMD VIDEO PRODUCTION
Hii flan ipo sokoni kwa mahitaji ya flana hii onana na uongozi wa HMD VIDEO PRODUCTION
kwa kufika Konde Chanjaani - Pemba au wasiliana nasi kwa simu namba 0772435236 au 0779791909. Wahi mapema
kwa kufika Konde Chanjaani - Pemba au wasiliana nasi kwa simu namba 0772435236 au 0779791909. Wahi mapema
Tuesday, 8 August 2017
Monday, 7 August 2017
Tuesday, 18 July 2017
NIPO NA WASANII MAHIRI.
Sunday, 15 January 2017
KARIBU KATIKA BLOG YETU!!
Hii ndio blog yetu lengo la blog hii ni kutokana na mahitaji ya watu wengi kutaka kujua
shughuli zetu ambazo tunazifanya. Office yetu ipo maeneo ya Konde Chanjaani- Pemba ambapo tuna deal na mambo mbali mbali kama vile Video Shouting,Editing za kisasa kabisa ,Photo Picha,tuna pamba
kumbi,tuna kodisha vifaa vya maharusi,stationary kwa matumizi ya Shuleni na Ofisini
bila kusahau kuwa Hmd video production ni wanasanaa wa maigizo yenye. Pia Vituna tengeneza blog,tunabadili muonekano wa blog ili iwe katika muonekano mzuri,pia tuna na deal na masuala ya web site design na graphic design kwa mahitaji ya bussiness card, Id card, kadi mbali mbali za mialiko,flayers,brounchers,barners,T- shirt design, Logo design tunatengeneza matangazo kwa njia ya audio, picha na hata kwa njia ya video . Vyote hivyo utavipata kwa bei
nafuu kabisa. Hata hivyo tunatoa fursa kwa wewe mfatiliaji kama unataka kutangaza biashara yako,
matangazo yako pia unakaribishwa ili mradi tu yaendane na maadili mema.
KARIBUNI SANA!!
Subscribe to:
Posts (Atom)