Friday, 25 August 2017

GRAPHIC DESIGN

Tuna deal na mabo ya Graphic design kwa mahitaji ya Bussiness card, vitambulisho,kadi mbali mbali za mialiko, flayer(jarida), brouncher( Kipeperushi) banners, pia tuna tengeneza makava ya
michezo, music tuna edit picha zenye ubora wa hali ya juu kabisa bila ya kusahau kuwa tuna tengeneza kalenda,tuna design flana na kofia pamoja na katuni hata hivy ukitaka picha yako itengenezwe kuwa katuni na kwa mahitaji ya logo(nembo/lebo) pia tunatengeneza na mengine
mingi kibao. Vyote hivyo utavipata kwa garama nafuu kabisa nyote mnakaribisha wasiliana nasi
kwa simu namba : 0779791909 au 0772435236. KARIBUNI NYOTE



No comments:

Post a Comment