Tuesday, 5 September 2017
Monday, 28 August 2017
ADOBEPHOTOSHOP
KILA AINA YA LUGHA INAANDIKA SASA WEWE MTUMIAJI TU TUNATOA MAFUNZO FIKA OFISIN KWETU HMD VIDEO PRODUCTION KONDE PEMBA AU TUTATUTE ....#whatsapp: 0772435236. hotline: 0772435236. facebook: hamad hmd
Saturday, 26 August 2017
FLANA YA HMD VIDEO PRODUCTION
Hii flan ipo sokoni kwa mahitaji ya flana hii onana na uongozi wa HMD VIDEO PRODUCTION
kwa kufika Konde Chanjaani - Pemba au wasiliana nasi kwa simu namba 0772435236 au 0779791909. Wahi mapema
kwa kufika Konde Chanjaani - Pemba au wasiliana nasi kwa simu namba 0772435236 au 0779791909. Wahi mapema
USIKOSE KUANGALIA COMEDY HII!!
BONYEZA KATI ILI KUANGALIA
Friday, 25 August 2017
GRAPHIC DESIGN
Tuna deal na mabo ya Graphic design kwa mahitaji ya Bussiness card, vitambulisho,kadi mbali mbali za mialiko, flayer(jarida), brouncher( Kipeperushi) banners, pia tuna tengeneza makava ya
michezo, music tuna edit picha zenye ubora wa hali ya juu kabisa bila ya kusahau kuwa tuna tengeneza kalenda,tuna design flana na kofia pamoja na katuni hata hivy ukitaka picha yako itengenezwe kuwa katuni na kwa mahitaji ya logo(nembo/lebo) pia tunatengeneza na mengine
mingi kibao. Vyote hivyo utavipata kwa garama nafuu kabisa nyote mnakaribisha wasiliana nasi
kwa simu namba : 0779791909 au 0772435236. KARIBUNI NYOTE

Thursday, 24 August 2017
Tuesday, 8 August 2017
Monday, 7 August 2017
Tuesday, 18 July 2017
NIPO NA WASANII MAHIRI.
Sunday, 15 January 2017
KARIBU KATIKA BLOG YETU!!
Hii ndio blog yetu lengo la blog hii ni kutokana na mahitaji ya watu wengi kutaka kujua
shughuli zetu ambazo tunazifanya. Office yetu ipo maeneo ya Konde Chanjaani- Pemba ambapo tuna deal na mambo mbali mbali kama vile Video Shouting,Editing za kisasa kabisa ,Photo Picha,tuna pamba
kumbi,tuna kodisha vifaa vya maharusi,stationary kwa matumizi ya Shuleni na Ofisini
bila kusahau kuwa Hmd video production ni wanasanaa wa maigizo yenye. Pia Vituna tengeneza blog,tunabadili muonekano wa blog ili iwe katika muonekano mzuri,pia tuna na deal na masuala ya web site design na graphic design kwa mahitaji ya bussiness card, Id card, kadi mbali mbali za mialiko,flayers,brounchers,barners,T- shirt design, Logo design tunatengeneza matangazo kwa njia ya audio, picha na hata kwa njia ya video . Vyote hivyo utavipata kwa bei
nafuu kabisa. Hata hivyo tunatoa fursa kwa wewe mfatiliaji kama unataka kutangaza biashara yako,
matangazo yako pia unakaribishwa ili mradi tu yaendane na maadili mema.
KARIBUNI SANA!!
Saturday, 14 January 2017
ANGALIA MCHEZO WENYE MKASA WA KUSISIMUA ULIOTOLEWA NA HMD VIDEO PRODUCTION!!
Ni mchezo wenye maadili mema
Subscribe to:
Posts (Atom)